Very tight. Kuna makosa ya wazi yamefanywa na wachezaji wa mbele wa Azam. Walipopoteza mpira wachezaji takribani wanne walikuwa wanatembea badala ya kukimbia kwenda kumzonga mchezaji wa Yanga aliyekuwa na mpira.Mkono ni shabiki wa Yanga..
Ile ni offside.
HuogopiiiiLabda ukojoe viwili
Tangu zamani alikuwa hivyoMobeto amemuharibu mchezaji wetu.
πππππππ€£π€£π€£π€£π€£Inaanzaga hivi inaisha na kurudishiwa viwili