Jiandae kisaikolojia mdg wangu kipenzi...πTukutane mwezi wa 10π
Mechi imeishia hapo, kilichobaki wachague tu wafungwe ngapi..π€£π€£π€£π€£.
Ponea ponea yao wapaki basi
Sio mbali tunza maneno π€£Tukutane mwezi wa 10π
Na hajavaa taiti hana maana kabisa fei, japo mashaAllahWale nyingi yule boya alitukatia kiuno sisi
Subiri tuoneπππππJiandae kisaikolojia mdg wangu kipenzi...π
Eeeeeeeeeeeeeeeee!π€Tuseme mpk sasa ni moja moja....
Pole ndugu yangu.Shadeeya umeniponza anko wako Mwasibo OKW BOBAN SUNZU amenipa dislike now bila sababu ya msingi kila tu nimekuQoute.
Lambalamba wapo hoi kabisaBora fainal wangeingia Namungo
Wamefanya vizuri ila Yanga ni kipimo kikubwa kwake. Hawezi atasuffocate vibaya mno akijifanya kujaribu kuleta ubabe kwa YangaAzam hivi wanachokosa ni nini? Usajili mzuri ila ni kama hawaelewani? Tatu za chap na wataongezwa
Lamba lamba wauwaweπHawa wafungwe tu.. Feisal kanikera sana shangilia yake
Bro unatamani sana.Na hajavaa taiti hana maana kabisa fei, japo mashaAllah
Si ndo mana wakapigwa 4 - 1 na wydad wanaojitafuta πHivi azam hii ndo inaenda Klabu Bingwa!