Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Ila kale kasemaji kao sijui ka Ibwe kananiboaaa....nampenda fosali ila kale kajamaa ndo kanifanya nishindwe kuamua...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜„kanakashfa kameshajiona timu yao ni real madrid...
Kapare kamoja ivi si unawajua wapare kwa kujitapa
 
Pacome
Si lazima kila mpiga uchambue
Mwingine fanya fast switching
 
Dakika 39'
Young Africans 3 - 1 Azam FC
Nje ya kumi na nane mkwaju mkali kuelekea Yanga, Diarra anadaka mkwaju mkali wa Jibril Silla wa Azam FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…