Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Ila kale kasemaji kao sijui ka Ibwe kananiboaaa....nampenda fosali ila kale kajamaa ndo kanifanya nishindwe kuamua...😃😃😃😃😃😄😄😃😄kanakashfa kameshajiona timu yao ni real madrid...
Kapare kamoja ivi si unawajua wapare kwa kujitapa
 
Pacome
Si lazima kila mpiga uchambue
Mwingine fanya fast switching
 
Dakika 39'
Young Africans 3 - 1 Azam FC
Nje ya kumi na nane mkwaju mkali kuelekea Yanga, Diarra anadaka mkwaju mkali wa Jibril Silla wa Azam FC.
 
Back
Top Bottom