princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kudrah za Allah Subhannah wa taalaYanga hizo goli 3 ndo mwisho wenu shukuruni 2 ni kwa kudra za Mnyazi Mungu....
π π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudrah za Allah Subhannah wa taalaYanga hizo goli 3 ndo mwisho wenu shukuruni 2 ni kwa kudra za Mnyazi Mungu....
Nnaikumbuka ile comments mkuuπ―Sinaga ushabiki maandazi, nimeanza kupenda soka enzi hizo, siku hizi soka ni burudani zaidi kuliko ushabiki.
Kweli mie ni msimbazi, lakini isinifanye kukataa kizuri, kupingana na ukweli ni kutafuta magonjwa ya moyo bure.
Yanga imeanza kuwa bora kitambo na kwa taratibu, wakati naliongea hili mashabiki wengi wa simba walikuwa wananipinga na wa yanga wakawa wanasema ninaWANANGA.
Msimu yanga anatolewa na al hilal, katafute comment yangu kule, kuna jambo nilizungumza, ukisoma ile basi huwezi pata tabu kabisa kwa kauli hizi.
Nyie hamuogopiii?Kama unaangalia mpira ukiwa sitimbi inawezekana video zenu zikawa zinaonyesha slow motion....
Kabisa kabisa kipenzi...πππππKudrah za Allah Subhannah wa taala
π π π π
Nmependa mbinu za gamondi LeoSimba mnaona wanaojua mpira namna wanavocheza?
Anacheza na mashabikiPacome
Si lazima kila mpiga uchambue
Mwingine fanya fast switching
Mpe huyoooooo...! Mzee wa kupambania πSinaga ushabiki maandazi, nimeanza kupenda soka enzi hizo, siku hizi soka ni burudani zaidi kuliko ushabiki.
Kweli mie ni msimbazi, lakini isinifanye kukataa kizuri, kupingana na ukweli ni kutafuta magonjwa ya moyo bure.
Yanga imeanza kuwa bora kitambo na kwa taratibu, wakati naliongea hili mashabiki wengi wa simba walikuwa wananipinga na wa yanga wakawa wanasema ninaWANANGA.
Msimu yanga anatolewa na al hilal, katafute comment yangu kule, kuna jambo nilizungumza, ukisoma ile basi huwezi pata tabu kabisa kwa kauli hizi.
Ngumu kwakoHulali wewe binti Utopolo?
Sio rahisi mshinde game hii
Achana naye huyo shabiki mwogaMpe huyoooooo...! Mzee wa kupambania π
Akate tu mauno maana huwa ni puga.Naona Feisali kawekewa uyoooo mtotoooooooo
inamaan gani na yale maunoo
Uyo mtotoooooooooooooooNani atamfunga paka kengele?
SwahibaaaHata mie kilinikera. π π
Hawa inapaswa tuwapige zaidi ya 5.