Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Sinaga ushabiki maandazi, nimeanza kupenda soka enzi hizo, siku hizi soka ni burudani zaidi kuliko ushabiki.

Kweli mie ni msimbazi, lakini isinifanye kukataa kizuri, kupingana na ukweli ni kutafuta magonjwa ya moyo bure.

Yanga imeanza kuwa bora kitambo na kwa taratibu, wakati naliongea hili mashabiki wengi wa simba walikuwa wananipinga na wa yanga wakawa wanasema ninaWANANGA.

Msimu yanga anatolewa na al hilal, katafute comment yangu kule, kuna jambo nilizungumza, ukisoma ile basi huwezi pata tabu kabisa kwa kauli hizi.
Nnaikumbuka ile comments mkuuπŸ’―
 
Naona Feisali kawekewa uyoooo mtotoooooooo

inamaan gani na yale maunoo
 
Sinaga ushabiki maandazi, nimeanza kupenda soka enzi hizo, siku hizi soka ni burudani zaidi kuliko ushabiki.

Kweli mie ni msimbazi, lakini isinifanye kukataa kizuri, kupingana na ukweli ni kutafuta magonjwa ya moyo bure.

Yanga imeanza kuwa bora kitambo na kwa taratibu, wakati naliongea hili mashabiki wengi wa simba walikuwa wananipinga na wa yanga wakawa wanasema ninaWANANGA.

Msimu yanga anatolewa na al hilal, katafute comment yangu kule, kuna jambo nilizungumza, ukisoma ile basi huwezi pata tabu kabisa kwa kauli hizi.
Mpe huyoooooo...! Mzee wa kupambania πŸ˜‚
 
Uyooo mtotooooooo Dj wa uwanjani anavitaaa yake nayeeee

uyo mtotooooooo 🀣🀣
 
Back
Top Bottom