Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Chama kakimbia kucheza top 11 kaja kutokea benchi
 
Kocha alifeli kujaribu mfumo wakati unacheza na mkubwa mwenzio.

Ila alichonifurahisha ni uwezo wake wa kuona mapungufu, kayabaini mapungufu na fasta kabadilika, napenda makocha wa namna hii. Raha ya kocha awe mzuri kwenye mbinu
Kabisa
 
Azam wakianza kukimbia kimbia hawawezi Uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…