Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Kumbukumbu zangu zinaonesha wachezaji wengi wa Yanga upata majeraha mpaka kuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa wanapocheza mechi na Azam fc.
Lakini pamoja na yote,naitakia ushindi Yanga.

Ubaya Ubwela. Wakituumizia wachezaji wetu nao tusiwaache kwa idadi hiyo hiyo, ili nao wa- face the music.
 
Kumbukumbu zangu zinaonesha wachezaji wengi wa Yanga upata majeraha mpaka kuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa wanapocheza mechi na Azam fc.
Lakini pamoja na yote,naitakia ushindi Yanga.
Azam wanajua kucheza rafu sana, ila leo naona soft football watayopigiwa.

Azam watacheza kwa kupack basi otherwise lazima wachapike sana.

Gamondi ni mtu wa strategy! hii ni game yake ya tatu na Azam ikiwa vizuri. Tunategemea kuona ushindani wa tofauti kidogo leo.
Tutakuwa na game tamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…