Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Hivi Wanajangwani, hivi mnajua kisasi chetu na Azam bado hakijalipwa?

Hawa waliturudisha nyuma sana kwenye CAFCL.

Game iliyofuata ikaishia kwa matuta.

Tunawadai hawa watu ndani ya dakika 90'
Wapigwe kipigo cha Mbwa Koko.
 
Wameshaanza kutuzoea zoea mimi hata Lambalamba wakicheza na Simba nashabikia Simba! Walituvunjia wachezaji wetu hawa washenzi
 
Okay, leo ndio anapata pancha sasa.
Angalia video zangu pale Yanga TV uchukue notice zitakusaidia. 😂 Cc ephen_

min -me
20240811_171133.jpg
 
Back
Top Bottom