Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Kila la heri wanetu wa Lambalamba
IMG_2680.jpeg
 
Pacome anacheza mpira wa kizamani sana wa kung'ang'ania kukokota mpira kwa muda mrefu kwa kupiga chenga na hatimaye kupoteza mpira! Anapenda kucheza na jukwaa! Hafai!! Hali kadhalika kwa Kibu wa Simba! Ni uchezaji usiokuwa na tija kwa soka la kisasa!
Sio kweli
 
Sio kweli
Ni kweli kabisa!! Kama Pacome angecheza soka la kisasa, Yanga angeweza kuifunga Simba magoli zaidi!! Kukaa na mpira kunatoa nafasi kwa timu pinzani kujipanga na kwa vyovyote vile lazima mpira utaupoteza tu hata baada ya kupiga chenga baadhi ya wachezaji!! Pacome hana uwezo wa kucheza kisasa!! Akili yake amewielekeza kucheza na jukwaa kwa manufaa yake binafsi na si kwa manufaa ya timu!!
 
🚮
 
Back
Top Bottom