Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Nimeona aisee 😂😁😁Umeona hasibu la mchongo linatutembezea dislikes? 🤣🤣
Nimeona aisee 😂😁😁Umeona hasibu la mchongo linatutembezea dislikes? 🤣🤣
Wewe ni mpumbavuWanayanga tunaimani na yanga yetu kijani na njano kama CCM na Brazil tu
USSR
Mwanzo walipanga saa 7
Utosi wake huyo utakuwa upo usoni mwake, siyo kichwani.
🤣AiseeKile kitimu cha Ong Back kitacheza mchana wa saa 8 kutafuta mshindi wa 3. Najua wataomba maji, hamna kuwapa...
SahiiGame inaisha kipindi cha kwanza. Yaani first half Yanga 3 Azam 0