Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Wakati sisi tunapiga dua kuianza ligi ili tujikusanyie vikombe, wao wanadhurula sasa ngoja ligi ichanganye waje wamtafute mchawi nani
 
Hawa watoto wa lambalamba walianza kuchezea mkubwa wao baada ya kubahatisha ushindi wakati yanga ilicheza kwa tahadhari kabla ya kukutana na mamelodi ni muda muafaka wa kuwafundisha adabu .

Mzize amekuja kivingine safari hii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…