Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise! Ulijuaje?Hii game inaisha 4 -1
Ulisema na ikatimia😂Unaongea kishabiki anazam anapigwa nne (4)kwa 1 leo
UjingaHawa Young Africans kipindi cha pili watarudi Jangwani kwa kilio cha kushindwa mechi hii ya Community Shield 2024
Maoteo dakika 90' za mechi inaisha :
Young Africans 3 - 4 Azam FC
Mi naogopa ulcers tu kitambi hakina shidaKitambi ni marufuku🤣🤣
Only solution remainUkicheza na hii yanga paki basi tu, ukijichanganya kuweka mpira chini kutaka kupishana nayo yatakukuta mazito
Sisi tutamzuia tu! Hakuna namnaMsimu huu sioni timu ya kumzuia Yanga hapa Tanzania.
Umemsahau Joyce wenu!!Hivi kweli unasajili mchezaji aitwaye Debora kwenye soka la wanaume?
Mno maana mbona watu walishaachana nae ila ana force bifuWachezaji wana ile fair play kwamba hata nje ya uwanja tunaishi au leo na kesho tunaweza kutana timu moja...
Ila sio kwa huyu jamaa hovyo sana
Mtoto anautaka 😹Natafuta Ajira..,mtoto anautaka unafeli wapi mwanetu😳
Ngoja janabi akusikie🤣Mi naogopa ulcers tu kitambi hakina shida
Kwa kikosi kipi? Hicho cha kumfunga Coast Union kagoli kamoja?Sisi tutamzuia tu! Hakuna namna