Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mtoto hana adabu yuleAlitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto hana adabu yuleAlitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....
Sema nini..... 😋 au basi.Mtoto hana adabu yule
Mtoto kautaka yule 😂Sema nini..... 😋 au basi.
🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto kautaka yule 😂
Natafuta Ajira..,mtoto anautaka unafeli wapi mwanetu😳Usiniite dada lakini, si unajua nakupendaga japo haunitaki 😊
Niite hata binamu, au bora uniite "wewe"
💛💚💛💚💛💚🔥🔥🔥🔥
Maskini, kanatamani kimoyomoyo chama langu hilo!
Si walisemwa wazee hawa?Yanga hii ya awamu hii ni kama wachezaji wameekewa motor katika miguu yao
Huyu kwasasa anajutia, ma super star wote saivi wanaikimbilia Yanga, alikuwa anapiga stori na Chama ila moyoni mwake una mengi.Maskini, kanatamani kimoyomoyo chama langu hilo!
Yani Fei mpaka labda ahamie kaizer chiefsView attachment 3067312
Huyo hapo 😂😂
Ananichekeshaga tu anavyoongea 😂😂 " halafu kuna huyo mchezaji anakuja! Straiker refu kuliko goli "😂😂Huwa Unatafuta nini kwa hiyo page ilhali we ni mwananchi?
Wachezaji wana ile fair play kwamba hata nje ya uwanja tunaishi au leo na kesho tunaweza kutana timu moja...Wachezaji huwa wanamkubali sana pamoja na makuzi yake
Mimi kama Shabiki wa Yanga tawi la Ubaya ubwela.
Nasemajeeee!!!!! Lamba lamba wapigwe kipigo cha mbwa koko!!!
NakaziaWachezaji wana ile fair play kwamba hata nje ya uwanja tunaishi au leo na kesho tunaweza kutana timu moja...
Ila sio kwa huyu jamaa hovyo sana
View attachment 3066540
Ndio kaka 😂😁