Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mtoto hana adabu yuleAlitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....
Sema nini..... π au basi.Mtoto hana adabu yule
Mtoto kautaka yule πSema nini..... π au basi.
π€£π€£π€£π€£π€£Mtoto kautaka yule π
Natafuta Ajira..,mtoto anautaka unafeli wapi mwanetuπ³Usiniite dada lakini, si unajua nakupendaga japo haunitaki π
Niite hata binamu, au bora uniite "wewe"
πππππππ₯π₯π₯π₯
Maskini, kanatamani kimoyomoyo chama langu hilo!View attachment 3067304
ππππππ
Si walisemwa wazee hawa?Yanga hii ya awamu hii ni kama wachezaji wameekewa motor katika miguu yao
Huyu kwasasa anajutia, ma super star wote saivi wanaikimbilia Yanga, alikuwa anapiga stori na Chama ila moyoni mwake una mengi.Maskini, kanatamani kimoyomoyo chama langu hilo!
Yani Fei mpaka labda ahamie kaizer chiefsView attachment 3067312
Huyo hapo ππ
Ananichekeshaga tu anavyoongea ππ " halafu kuna huyo mchezaji anakuja! Straiker refu kuliko goli "ππHuwa Unatafuta nini kwa hiyo page ilhali we ni mwananchi?
Wachezaji wana ile fair play kwamba hata nje ya uwanja tunaishi au leo na kesho tunaweza kutana timu moja...Wachezaji huwa wanamkubali sana pamoja na makuzi yake
Mimi kama Shabiki wa Yanga tawi la Ubaya ubwela.
Nasemajeeee!!!!! Lamba lamba wapigwe kipigo cha mbwa koko!!!
NakaziaWachezaji wana ile fair play kwamba hata nje ya uwanja tunaishi au leo na kesho tunaweza kutana timu moja...
Ila sio kwa huyu jamaa hovyo sana
View attachment 3066540
Ndio kaka ππ