G
Ndio mnavyotaka kusikia na kusoma kizazi kibaya cha zinaa. Ukija uzi kuhusu Mungu ninkushambulia, kukosoa na kuupiga vita.Mtoto anautaka πΉ
Tunanenepeana ovyo kwa kweli.Nipo Shem nami nimekumiss pia.
Yaani hii Yanga imeninenepesha sana shem. π€£π€£
Dini zinatugombanisha tu komando hazina maana, kama ndani ya moyo wako unamuamini Mungu wako una upendo inatosha......Ndio mnavyotaka kusikia na kusoma kizazi kibaya cha zinaa. Ukija uzi kuhusu Mungu ninkushambulia, kukosoa na kuupiga vita.
Yule board member wa 'timu tunayo' anafanya siasa ya afyaNgoja janabi akusikieπ€£
Hivi bado nafasi yake iko?Yule board member wa 'timu tunayo' anafanya siasa ya afya
Hee πDini zinatugombanisha tu komando hazina maana, kama ndani ya moyo wako unamuamini Mungu wako una upendo inatosha......
Punguza mawanga wangaTunanenepeana ovyo kwa kweli.
Matumizi mabaya ya manenoThe club above all π
NdioHivi bado nafasi yake iko?
Mna point 6 zetu mtaniMatumizi mabaya ya maneno
Hao nafasi ya 3 ilishawaganda tangu mda, ligi nafasi ya 3, huku nafasi ya 3 πHatuji tena kwenye mechi za Yanga, hatuji tena π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Makolo wamegombea nafasi ya 3, wee huogopi?
Uko wapi ....πΉHee π
Sawa babu. Ila wewe wenge limekuvuka.Punguza mawanga wanga