Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngekubali kwa Manula ila mnamokomoa.Mna hasira naye bado? Kubalini yaishe
Nimewaelewa sana.At least azam wameswitch kucheza na beki 4, la sivyo ile ya kwanza wangekoga nyingi, na hapa kidoogo wataweza sumbuana na yanga kuliko mfumo ule wa kwanza.
Anamkatia nani viunoooooMna hasira naye bado? Kubalini yaishe
Dogo mpumbavu sana. Nilianza kumchukulia fair ila jinsi alivyoshangilia amenikera sana.Dogo Feisal fala sana, halafu hajifunzi.
Yale matusi aliyotufanyia sisi tunamjibu kwa magoli tu.
Nyie jipigieni tu mmekutana na timu mbovuHuyu ale 5+.
Nyuma mwiko
Simba tumeshamuoa tuambie nani badoMmekutana na vitonga mnajipigia tu sio 🤣
Wamecheza lini huo mpira wa kasi? Acheni kujifariji nyie vijana wa Rage.Chama hawezi hizo mbio za SGR angekua Simba pia angekaa bench....Fadlu nae ni mpira wa kasi
Kabiisaaa. 😅Mwasibu tunaye na tunatamba Vilevile 🤣
Huu msemo tujaribu kuuepuka, baadhi yetu unatugusaTuwape maji au tuwaonyeshee chupa ya uso?
Kama unaangalia mpira ukiwa sitimbi inawezekana video zenu zikawa zinaonyesha slow motion....Wamecheza lini huo mpira wa kasi? Acheni kujifariji nyie vijana wa Rage.
Sio mstaarabu hata kidogo.Dogo mpumbavu sana. Nilianza kumchukulia fair ila jinsi alivyoshangilia amenikera sana.