joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mzize akitulia hakosi goli hapa ila tatizo dogo anamawenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona hadi mpira siufatilii mshindi kaeshajulikanaYanga ina mashabiki visu tu 😋
Yani mi nadili na mishangazi tu ndo wananipa update ya matokeoUmeona hadi mpira siufatilii mshindi kaeshajulikana
Shida inakuaga ni Sule 🤣🤣🤣Uzi ukianzishwa na mwanayanga yoyote mechi inakuwa burudani tupu na magoli ya kutosha
Ana hamu ya kutiwa madole.Shida inakuaga ni Sule 🤣🤣🤣
Halafu mods wanamlindaaa😂Shida inakuaga ni Sule 🤣🤣🤣
Haya kaka...tuache tupumue kabla hatujaanza mikiki mikiki...Hakuna timi isiyofungwa, refer brazil 🇧🇷 ile bora kabisa, ya 58 mpaka 70 hivi, ile arsenal invincible, ile barca bora kabisa ya kina iniesta(kampa kampa tena), madrid ya kuchukua eufa back to back, hii man city ya guardiola, zote ni timu bora na zilifungwa.
Tuishie hapo dada yangu mpendwa, tutizame football
Kafanyajee?Dah, Chama Kwa Kweli anatia Huruma..!
Anatia huruma vipi wakati yupo kwenye timu ya mataji?Dah, Chama Kwa Kweli anatia Huruma..!
Shida inakuaga ni Sule 🤣🤣🤣
Halafu mods wanamlindaaa😂
kuna wachezaji bora kuliko yeye hadi anatia huruma.Anatia huruma vipi wakati yupo kwenye timu ya mataji?
Yanga ni raha tupu.