Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

FB_IMG_1723396357271.jpg
 
Hakuna timi isiyofungwa, refer brazil 🇧🇷 ile bora kabisa, ya 58 mpaka 70 hivi, ile arsenal invincible, ile barca bora kabisa ya kina iniesta(kampa kampa tena), madrid ya kuchukua eufa back to back, hii man city ya guardiola, zote ni timu bora na zilifungwa.

Tuishie hapo dada yangu mpendwa, tutizame football
Haya kaka...tuache tupumue kabla hatujaanza mikiki mikiki...
 
Back
Top Bottom