Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Nimemshangaa sana aisee,sijui kule Morocco alienda kufanya nini plus huu usajili wa wachezaji kutoka America ulikuwa wa maana gani,na kilichonishtua eti wanahitaji kipa kama Diara.
🤣🤣 Ndio hivyo! hata wawe na kipa kama Oliver Khan au Bartez, wasipokuwa na strategies nzuri! Watafungwa tu.
 
Hawa Young Africans kipindi cha pili watarudi Jangwani kwa kilio cha kushindwa mechi hii ya Community Shield 2024

Maoteo dakika 90' za mechi inaisha :
Young Africans 3 - 4 Azam FC
Wewe ni takataka.
 
Nimemshangaa sana aisee,sijui kule Morocco alienda kufanya nini plus huu usajili wa wachezaji kutoka America ulikuwa wa maana gani,na kilichonishtua eti wanahitaji kipa kama Diara.
Walipoteana mapema nadhani formation ya 3-4-3 imewacost....
Wangeanza Kwa kudefend Kwanza wao wakafunguka mazima...
Yanga wakawaacha Azam waje kushambulia Kwa idadi kubwa ikipigwa kaunto imoooooo....

All in all Yanga ni Bora sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240811-211346_Chrome.jpg
 
Yule fala wa kutukatia mauno sisi kweli 😂😂
Alitukosea sana, na huwa inakuwa hivyo mara zote.
Nakumbuka ile waliotangulia kwa 2-1 alituziba mdomo! Ikaisha 3-2.

Ile ya Matuta alifanya hivyo hivyo....

Hii ya leo ndio kiboko, alitunisha dudu lake akaja kutukatikia kiuno.
Imeisha 4-1
 
Back
Top Bottom