kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #821
🤣🤣 Ndio hivyo! hata wawe na kipa kama Oliver Khan au Bartez, wasipokuwa na strategies nzuri! Watafungwa tu.Nimemshangaa sana aisee,sijui kule Morocco alienda kufanya nini plus huu usajili wa wachezaji kutoka America ulikuwa wa maana gani,na kilichonishtua eti wanahitaji kipa kama Diara.