Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Yanga hii unaifungaje unaifungaje
Yanga Afrika inafungwaje inafungwaje
Yanga hii unaifungaje unaifungaje
Yanga bingwa anafungwaje inafungwaje
 
Namna wachezaji wa Yanga wanatembea unajua wamepiga kazi ya hatari
 
nili miss goal la mrembo wa Zanzibar hivi kumbe kakata mauno kiasi kile daah nme sikitika sana .alkua ajui kama ana katikia mpini 4💛💚💛💛
 
1000175827.jpg

Alishangilia kama kachukua taji
 
Back
Top Bottom