Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
ESPN ni tofauti na Azam sports pia ni tofauti wameangalia nani kafunga goli nyingi so Bravos anakuwa namba moja na Simba namba tatu.Kikubwa Simba kama anataka kufuzu akapate sare kwa Bravos tofauti na hapo hesabu itakuwa ngumuLakini ukiangalia flashscore msimamo constatine anaongoza,Simba ya 2 na Bravo ya 3,sasa sijui official standing ni upi
Ujiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?Kanuni ipi ya CAF inasema point 1 ya club bingwa ni sawa na points 9 za shirikisho?mkuu ongea vitu kwa facts naomba uwe serious kwenye vitu vya msingi maana kila siku unaongea porojo tu unayojisikia kuongea
Hakika Fanya hivoNyie mpo mashindano yakina baba na mnaongoza kundi tufanye point moja ya clab bingwa ni sawa na pointi tisa za shirikisho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ujiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?
Utaona hadhi ya mashindano ni tofauti na CAFCL ni ngumu kuliko Shirikisho
Nyie mpo ligi yenye hadhi na mnaongoza kundi na mapointi kama yote.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ujiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?
Utaona hadhi ya mashindano ni tofauti na CAFCL ni ngumu kuliko Shirikisho
Yaani ni sawa mtoto anayefaulu darasa la 3Nyie mpo ligi yenye hadhi na mnaongoza kundi na mapointi kama yote.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vyura wanabweka mzee kama mambwaNi wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.
Mazembe mwenye point 2 amekaa kimya eti wao wenye point 1 ndio wanajipa nafasi ya kufuzu.
Ndo nimesema we hapa hiyo kanuni acha porojo zisizo na msingiUjiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?
Utaona hadhi ya mashindano ni tofauti na CAFCL ni ngumu kuliko Shirikisho
Nyie mpo form fooo na mna ziroYaani ni sawa mtoto anayefaulu darasa la 3
Anamcheka anayepamba form four
Yaani kwakuwa tunashiriki mashindano ya hadhi tofauti mtani huwezi kunipopoaNdo nimesema we hapa hiyo kanuni acha porojo zisizo na msingi
Kabisa na mmeshshinda mechi zoteSisi tunafuzu na hamtaamini
Tumefanya mitihani kidogo.Nyie mpo form fooo na mna ziro
Huyu tuliyecheza naye leo tukimkomalia kwao tunaweza kupata alama yeyoteHatari mno.
Tukomae tupate hata ushindi mmoja tu ugenini
Yule hamtamfunga TunisiaHuyu tuliyecheza naye leo tukimkomalia kwao tunaweza kupata alama yeyote
Ila kama tuta improve uchezaji wetu.
Kwa hii tia maji tia maji ya leo tutakuwa tunajiweka kwenye wakati mgumu sisi wenyewe.
Kabisa nyie mna shinda mechi zoteYule hamtamfunga Tunisia
Kwanza mmewafanyia fujo,
Warabu watalipiza
laZima kiwakute
Huko vyurani wenye akili ni wawili tu hata wenzako wamesha kudharau wamekuacha upuyange pekeyakoTumefanya mitihani kidogo.
Subiri mitihani iishe tu balance comb😅🤣😀
Mbumbumbu hata mje 100 na hoja zenu za ovyo, nitawakimbiza tu mwenyeweHuko vyurani wenye akili ni wawili tu hata wenzako wamesha kudharau wamekuacha upuyange pekeyako
Shirikisho ni majike matupu.Kundi dume.....
Hii ni kweli, Simba hana uwezo wa kupata hata draw akiwa away.Tafsiri
5imba anaenda kufungwa na Wa Angola
Anafungwa na sc sFaxien
Zote atacheza away
Atafungwa Taifa na Constantine 🤣😅😀