Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
ESPN ni tofauti na Azam sports pia ni tofauti wameangalia nani kafunga goli nyingi so Bravos anakuwa namba moja na Simba namba tatu.Kikubwa Simba kama anataka kufuzu akapate sare kwa Bravos tofauti na hapo hesabu itakuwa ngumuLakini ukiangalia flashscore msimamo constatine anaongoza,Simba ya 2 na Bravo ya 3,sasa sijui official standing ni upi