Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Lakini ukiangalia flashscore msimamo constatine anaongoza,Simba ya 2 na Bravo ya 3,sasa sijui official standing ni upi
ESPN ni tofauti na Azam sports pia ni tofauti wameangalia nani kafunga goli nyingi so Bravos anakuwa namba moja na Simba namba tatu.Kikubwa Simba kama anataka kufuzu akapate sare kwa Bravos tofauti na hapo hesabu itakuwa ngumu
 
Kanuni ipi ya CAF inasema point 1 ya club bingwa ni sawa na points 9 za shirikisho?mkuu ongea vitu kwa facts naomba uwe serious kwenye vitu vya msingi maana kila siku unaongea porojo tu unayojisikia kuongea
Ujiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?
Utaona hadhi ya mashindano ni tofauti na CAFCL ni ngumu kuliko Shirikisho
 
Nyie mpo ligi yenye hadhi na mnaongoza kundi na mapointi kama yote.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.

Mazembe mwenye point 2 amekaa kimya eti wao wenye point 1 ndio wanajipa nafasi ya kufuzu.
Vyura wanabweka mzee kama mambwa
 
Ujiulize kwanini 5imba ipo shirikisho na haipo CAFCL?
Utaona hadhi ya mashindano ni tofauti na CAFCL ni ngumu kuliko Shirikisho
Ndo nimesema we hapa hiyo kanuni acha porojo zisizo na msingi
 
Ndo nimesema we hapa hiyo kanuni acha porojo zisizo na msingi
Yaani kwakuwa tunashiriki mashindano ya hadhi tofauti mtani huwezi kunipopoa

Nisubiri nije NBCPL nikifungwa na Tabora United, utani wetu urudi
 
Huyu tuliyecheza naye leo tukimkomalia kwao tunaweza kupata alama yeyote

Ila kama tuta improve uchezaji wetu.

Kwa hii tia maji tia maji ya leo tutakuwa tunajiweka kwenye wakati mgumu sisi wenyewe.
Yule hamtamfunga Tunisia
Kwanza mmewafanyia fujo,
Warabu watalipiza
laZima kiwakute
 
Bravo nyuma kidogo hawako vizuri wakiongeza umakini kwenye defense wanafuzu kwani ni too aggressive wanapokuwa karibu na goli mpinzani.
 
Back
Top Bottom