Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Wale wavaa malonya wanatakiwa wawe namba 3 kwenye msimamo! Na kanawasuburi wakafuate kawalambishe 3-2!
 
Head to head haiwezi kutumika hapa kwavile hawajacheza second leg. Wakishacheza second leg wanataangalia kwanza head to head kabla ya magoli. Hapo kilichombeba Bravo ni kuwa kafunga magoli mengi
Hata sahivi ina count kwenye kupanga msimamo labda mechi zote zikiisha ndio mbivu na mbichi itajulikana
 
Tafsiri
5imba anaenda kufungwa na Wa Angola
Anafungwa na sc sFaxien
Zote atacheza away

Atafungwa Taifa na Constantine 🤣😅😀
 
Kwa mwendo huu Kolo makundi hafuzu
Kolo pale Angola atoki ataacha zote 3,,atamsubilia costantine kwa mkapa je ataweza kupata point zake? Jibu ni ngumu kwakuwa mwarabu keshachezea kichapo atokubali kuacha point kizembe Tena angalau uyu ana ubora kuliko sfaxien
 
Tafsiri
5imba anaenda kufungwa na Wa Angola
Anafungwa na sc sFaxien
Zote atacheza away

Atafungwa Taifa na Constantine 🤣😅😀
Hiki ndo kinaebda kutokea labda wamfukuze Hongbak mapema😁😁😁
 
Kolo pale Angola atoki ataacha zote 3,,atamsubilia costantine kwa mkapa je ataweza kupata point zake? Jibu ni ngumu kwakuwa mwarabu keshachezea kichapo atokubali kuacha point kizembe Tena angalau uyu ana ubora kuliko sfaxien
Hamna timu hapo
 
Wahuni hawajawahi kuifunga Simba. Tunza hii komenti.
Ndo nakwambia
Omba Mungu, Constantine aje Kwa Mkapa akiwa amefuzu ila kama anatafuta alama itakuwa game ngumu
Bravos anategemea mechi ya kwao awafunge Simba maana anatoka anaenda Tunisia na Morocco
 
Hapa ni head to head inacount japo utata utakuwa inakuaje Bravos aliye win kwa constantine awe watatu na akashindwa kwa simba.Anyway sahivi kila mtu anaweza panga anavyoweza
Kwa kifupi, Simba iko nafasi ya tatu kwa sababu imefunga mabao machache kuliko timu zilizo juu yake kwenye msimamo, licha ya kuwa na alama sawa.
 
Hivi sheria ya head to head siku hizi haipo? Au ina apply katika mazingira gani, mbona Simba kapelekwa nafasi ya 3 wakati alimfunga huyu Bravo?
Inategemea na source yako unayotumia

Screenshot_20241215-211920.png
 
Back
Top Bottom