Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Simba anakuwa namba mbili nyuma ya Costantine huku bravos akishika namba tatu wa mwisho ni huyu mwenye sifuri.Nijibu hili swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba anakuwa namba mbili nyuma ya Costantine huku bravos akishika namba tatu wa mwisho ni huyu mwenye sifuri.Nijibu hili swali
Hata sahivi ina count kwenye kupanga msimamo labda mechi zote zikiisha ndio mbivu na mbichi itajulikanaHead to head haiwezi kutumika hapa kwavile hawajacheza second leg. Wakishacheza second leg wanataangalia kwanza head to head kabla ya magoli. Hapo kilichombeba Bravo ni kuwa kafunga magoli mengi
Umezingatia kipi?Simba anakuwa namba mbili nyuma ya Constantine huku bravos akishika namba tatu wa mwisho ni huyu mwenye sifuri.
Simba atafungwa na BravosUmezingatia kipi?
Kolo pale Angola atoki ataacha zote 3,,atamsubilia costantine kwa mkapa je ataweza kupata point zake? Jibu ni ngumu kwakuwa mwarabu keshachezea kichapo atokubali kuacha point kizembe Tena angalau uyu ana ubora kuliko sfaxienKwa mwendo huu Kolo makundi hafuzu
Hapa ni head to head inacount japo utata utakuwa inakuaje Bravos aliye win kwa constantine awe watatu na akashindwa kwa simba.Anyway sahivi kila mtu anaweza panga anavyowezaUmezingatia kipi?
Wahuni hawajawahi kuifunga Simba. Tunza hii komenti.Simba atafungwa na Bravos
Atacheza away
Na hawa wahuni mpira wanaujua
Hiki ndo kinaebda kutokea labda wamfukuze Hongbak mapema😁😁😁Tafsiri
5imba anaenda kufungwa na Wa Angola
Anafungwa na sc sFaxien
Zote atacheza away
Atafungwa Taifa na Constantine 🤣😅😀
Gumu haswaBravos 3-2
Kundi limeshakuwa gumu.
Simba safari yake imeishia hapoSimba atafungwa na Bravos
Atacheza away
Na hawa wahuni mpira wanaujua
Hamna timu hapoKolo pale Angola atoki ataacha zote 3,,atamsubilia costantine kwa mkapa je ataweza kupata point zake? Jibu ni ngumu kwakuwa mwarabu keshachezea kichapo atokubali kuacha point kizembe Tena angalau uyu ana ubora kuliko sfaxien
Ndo nakwambiaWahuni hawajawahi kuifunga Simba. Tunza hii komenti.
Kwa kifupi, Simba iko nafasi ya tatu kwa sababu imefunga mabao machache kuliko timu zilizo juu yake kwenye msimamo, licha ya kuwa na alama sawa.Hapa ni head to head inacount japo utata utakuwa inakuaje Bravos aliye win kwa constantine awe watatu na akashindwa kwa simba.Anyway sahivi kila mtu anaweza panga anavyoweza
Inategemea na source yako unayotumiaHivi sheria ya head to head siku hizi haipo? Au ina apply katika mazingira gani, mbona Simba kapelekwa nafasi ya 3 wakati alimfunga huyu Bravo?
Goal difference hiko hivi kama sijakosea constatine anakuwa na 5:4 Simba anakuwa na 4:3 na Bravos anakuwa na 6:5 japo wote inakupa avarage ya +1Umezingatia kipi?
Hili kundi ni noma.....Simba abadilike aiseeeInategemea na source yako unayotumia