Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Mshindano yapi mnashindania?Wenye point moja kwenye mechi 3 wanawajadili wenye point 6 kwenye mechi 3. Maajabu ya dunia 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindano yapi mnashindania?Wenye point moja kwenye mechi 3 wanawajadili wenye point 6 kwenye mechi 3. Maajabu ya dunia 😂😂😂
Costantine keshabatizwa kwa moto uko Angola tiyali atokubali afungwe kizembe Tena na Simba kwa mkapa,,Simba yenyewe ndio iyo imetoa ulimi nje kumfunga kibonde wa kundi mpaka Refa akaingilia kati sasa ataweza kumfunga costantine?Ndo nakwambia
Omba Mungu, Constantine aje Kwa Mkapa akiwa amefuzu ila kama anatafuta alama itakuwa game ngumu
Bravos anategemea mechi ya kwao awafunge Simba maana anatoka anaenda Tunisia na Morocco
Ni wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.Wenye point moja kwenye mechi 3 wanawajadili wenye point 6 kwenye mechi 3. Maajabu ya dunia 😂😂😂
Head to head wakati hawajarudianaHapa ni head to head inacount japo utata utakuwa inakuaje Bravos aliye win kwa constantine awe watatu na akashindwa kwa simba.Anyway sahivi kila mtu anaweza panga anavyoweza
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano yenu ya akina mamaNi wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.
Mazembe mwenye point 2 amekaa kimya eti wao wenye point 1 ndio wanajipa nafasi ya kufuzu.
Ya kuwa WA mwisho kwenye kundi na Ka point kamoja😂😂.Mshindano yapi mnashindania?
Sisi tunafuzu na hamtaaminiYa kuwa WA mwisho kwenye kundi na Ka point kamoja😂😂.
Hapa ni kupanga nafasi katika kundi man sio kufuzuHead to head wakati hawajarudiana
Hiyo ndio inavyotakiwa haiishi mpaka iishe sio kuja kutafuta furaha Kwa jirani eti atafungwa eti atafungwa. Shinda mechi zako songa mbele.Sisi tunafuzu na hamtaamini
Lakini ukiangalia flashscore msimamo constatine anaongoza,Simba ya 2 na Bravo ya 3,sasa sijui official standing ni upiGoal difference ni +1 kwa timu tatu afu head to head Simba kamfunga Bravos hawezi kuwa namba tatu labda kila mtu ana mtazamo wake wa kupanga.Kama wanafuata Alphabetical order inaweza kuwa sawa
Yani vyura wanakalia kuipigia hesabu simba wanasahau hata timu yao kama ipo hukoðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£Ndo nakwambia
Omba Mungu, Constantine aje Kwa Mkapa akiwa amefuzu ila kama anatafuta alama itakuwa game ngumu
Bravos anategemea mechi ya kwao awafunge Simba maana anatoka anaenda Tunisia na Morocco
Yeah hapo kila mtu akishinda mechi moja moja huko mbeleni itakuja kuwa vitaHili kundi ni noma.....Simba abadilike aiseee
Shirikisho nayo ni mashindano?Yani vyura wanakalia kuipigia hesabu simba wanasahau hata timu yao kama ipo hukoðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£
Hatari mno.Yeah hapo kila mtu akishinda mechi moja moja huko mbeleni itakuja kuwa vita
Vyura wanakoroma hapa wameshajikatia tamaa na litimu lao bovuYeah hapo kila mtu akishinda mechi moja moja huko mbeleni itakuja kuwa vita
Timu bovu lipo mashindano ya akina mamaVyura wanakoroma hapa wameshajikatia tamaa na litimu lao bovu
Huko mliko kwenye mashindano mnaongoza kundi na point za kutosha au ndio tuseme pointi moja ya clabu bingwa nisawa na pointi sita za shirikisho.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shirikisho nayo ni mashindano?
Kanuni ipi ya CAF inasema point 1 ya club bingwa ni sawa na points 9 za shirikisho?mkuu ongea vitu kwa facts naomba uwe serious kwenye vitu vya msingi maana kila siku unaongea porojo tu unayojisikia kuongeaPoint 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano yenu ya akina mama
Costantine keshabatizwa kwa moto uko Angola tiyali atokubali afungwe kizembe Tena na Simba kwa mkapa,,Simba yenyewe ndio iyo imetoa ulimi nje kumfunga kibonde wa kundi mpaka Refa akaingilia kati sasa ataweza kumfunga costantine?
Nyie mpo mashindano yakina baba na mnaongoza kundi tufanye point moja ya clab bingwa ni sawa na pointi tisa za shirikisho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Timu bovu lipo mashindano ya akina mama