Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Full Time: Bravos do Maquis 3 - 2 Constantine | CAF Confederation

Ndo nakwambia
Omba Mungu, Constantine aje Kwa Mkapa akiwa amefuzu ila kama anatafuta alama itakuwa game ngumu
Bravos anategemea mechi ya kwao awafunge Simba maana anatoka anaenda Tunisia na Morocco
Costantine keshabatizwa kwa moto uko Angola tiyali atokubali afungwe kizembe Tena na Simba kwa mkapa,,Simba yenyewe ndio iyo imetoa ulimi nje kumfunga kibonde wa kundi mpaka Refa akaingilia kati sasa ataweza kumfunga costantine?
 
Wenye point moja kwenye mechi 3 wanawajadili wenye point 6 kwenye mechi 3. Maajabu ya dunia 😂😂😂
Ni wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.

Mazembe mwenye point 2 amekaa kimya eti wao wenye point 1 ndio wanajipa nafasi ya kufuzu.
 
Hapa ni head to head inacount japo utata utakuwa inakuaje Bravos aliye win kwa constantine awe watatu na akashindwa kwa simba.Anyway sahivi kila mtu anaweza panga anavyoweza
Head to head wakati hawajarudiana
 
Ni wajinga tu wanatafuta furaha kupitia juhudi za timu nyingine baada ya kuona timu yao haiwezi kuwapa hiyo furaha.

Mazembe mwenye point 2 amekaa kimya eti wao wenye point 1 ndio wanajipa nafasi ya kufuzu.
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano yenu ya akina mama
 
Goal difference ni +1 kwa timu tatu afu head to head Simba kamfunga Bravos hawezi kuwa namba tatu labda kila mtu ana mtazamo wake wa kupanga.Kama wanafuata Alphabetical order inaweza kuwa sawa
Lakini ukiangalia flashscore msimamo constatine anaongoza,Simba ya 2 na Bravo ya 3,sasa sijui official standing ni upi
 
Ndo nakwambia
Omba Mungu, Constantine aje Kwa Mkapa akiwa amefuzu ila kama anatafuta alama itakuwa game ngumu
Bravos anategemea mechi ya kwao awafunge Simba maana anatoka anaenda Tunisia na Morocco
Yani vyura wanakalia kuipigia hesabu simba wanasahau hata timu yao kama ipo huko😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shirikisho nayo ni mashindano?
Huko mliko kwenye mashindano mnaongoza kundi na point za kutosha au ndio tuseme pointi moja ya clabu bingwa nisawa na pointi sita za shirikisho.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano yenu ya akina mama
Kanuni ipi ya CAF inasema point 1 ya club bingwa ni sawa na points 9 za shirikisho?mkuu ongea vitu kwa facts naomba uwe serious kwenye vitu vya msingi maana kila siku unaongea porojo tu unayojisikia kuongea
 
Costantine keshabatizwa kwa moto uko Angola tiyali atokubali afungwe kizembe Tena na Simba kwa mkapa,,Simba yenyewe ndio iyo imetoa ulimi nje kumfunga kibonde wa kundi mpaka Refa akaingilia kati sasa ataweza kumfunga costantine?
 
Timu bovu lipo mashindano ya akina mama
Nyie mpo mashindano yakina baba na mnaongoza kundi tufanye point moja ya clab bingwa ni sawa na pointi tisa za shirikisho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom