Kwahiyo morocco ni timu ya kawaida mpaka useme hivyo! Kila timu na zama zake, brazil alifanya vizuri 2002, italy alifanya vizuri 2006,spain alifanya vizuri 2010, Germany alifanya vizuri 2014,france alifanya vizuri 1998 na 2018, Argentina alifanya vizuri 2022, tusubiri hii 2026.
Kwahiyo acheni kukariri, Morocco the big team, na brazil ina wachezaji wakubwa sema tu wamezidiwa, Morocco wanajua ball bwana.