BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.
Katika hali inayoshangaza, Wa-Africa mbali mbali duniani wameungana kushangilia Brazil against Morocco baada ya kukumbuka kwamba last time Morocco alifanya vizuri kwenye World Cup ya Qatar, they denounce themselves kama ni taifa lisilotoka Africa na wakaenda mbali kusema kwamba ni shobo za Wa-Africa kuwa-support and they never appreciate Africans support.
Mungu si Athumani, siku zikakimbia kweli na leo ndo siku ya malipo. Maombi, dua na sala za Wa-Africa wengi ni kuiombea ushindi Brazil dhini ya Morocco, washindi wa mezani wa Afcon 2025, Morocco Version.
Kila la kheri Brazil.
Wachapwe tu morroco
Hii game nitaicheki kwakua tu ni shabiki wa The atlas, Morocco.Sio game ya kukosa hii
Brazil anashinda hii mechi
Time zone differenceSaa 7 usiku! Kwanin wasiiweke saa4
Vinahusiana na nini?Mimi ni kobazi na nasimama na Brazil, sio wangese hao moroko
kama utakula maharage hutaiona, utaamka asubuhiHii mbugi lazima niamke kuicheki
sasa we kobazi mweusi hukuona shobo za morocco, au kwa sababu ni kobazi wenzako umeamua kujitoa ufahamu?Walokole, wakatoliki na wasabato wa namanyele watakua upande wa Brazil wazungu wenzao
Mshabiki wa argentina wapi na wapi na Brazil!!??Dua la kuku kamwe halimpati mwewe, endeleeni kuwaponda Morocco, wengine nimefuatilia comments zao wanawatakia waarabu wote waondolewe, ni chuki hizo, mwanaume mzima unaonyesha kisirani mbele ya mwanaume mwenzio hahaaaaa
Wachora piko watakandamizwa vby sanaHivi Morocco nayo ni team ya kuipa nafasi ya kushinda?