Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Hizi timu zina kiki hivyo kaona atembelee nyota zao awe anatajwa tajwa uwanjani. Akina simbu wangefanikisha medali hata moja ingegeuka yake na sifa zote angemwagiwa yeye na sio wanamichezo
Huyu mama mzima kweli? Unazipa timu zenye wafadhili kila goli 5m. Unaacha kuwawezesha kina Simbu kule Olimpic. Bongo tuna viongozi hopeless
 
Back
Top Bottom