MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Nani anataka kupostiwa na huyo shoga??Hampendi kuambiwa ukweli. Timu mpaka Jezi kuchapisha majina Haiwezi!
Ndio maana Micky hawapost kwa ubishi wenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anataka kupostiwa na huyo shoga??Hampendi kuambiwa ukweli. Timu mpaka Jezi kuchapisha majina Haiwezi!
Ndio maana Micky hawapost kwa ubishi wenu!
Yah huyu jamaa ni mkali mnoo sikuwah mfuatilia ila kwa nimuanavyo na kwa yanga hii, jamaa atatupia sana, makali yake si kitotodube alisemwa ni garasa. kiukweli ni straika mkali sana.
HIi yanga imetufanya tuamini kuwa min -me sio robot kama tulivyokua tunafikir zaman maana siku hzi haishiibku like tuu bali ana comment kwa uchungu mnooo kisa Yanga mpaka unaona kabisa robot haliwez kuwa na hisia za uchungu namna hii!!😂😂😂😂Mambo ya kawaida hayo ,huwa mjisahau sana😁😁😁
Musonda kocha anaweza kumpanga kwenye nafasi zingine kama winga. Na pia tukumbuke kuna mechi 30 za ligi kuu, mechi, mechi 10 za CAF hadi kumaliza makundi. Kuna mechi 5 za federation cup hivyo atatumika tu kwasababu mechi ni nyingi sana mbeleni na kocha atabidi afanye rotationMusonda ndio basi
Ndiyo uzuri wa kuwa na wachezaji wengi ni faida kupumuzisha miili ya wachezajiMusonda kocha anaweza kumpanga kwenye nafasi zingine kama winga. Na pia tukumbuke kuna mechi 30 za ligi kuu, mechi, mechi 10 za CAF hadi kumaliza makundi. Kuna mechi 5 za federation cup hivyo atatumika tu kwasababu mechi ni nyingi sana mbeleni na kocha atabidi afanye rotation
Hii mechi haikua hadhi yenu...hao wenye vitambi hamkupaswa kutoka jasho..
View: https://x.com/PlanetFutbal/status/1824465289657860377?t=8u2FnpDxeZsu6AdY3HQFNQ&s=19
Mwanetu msimu huu kapania sana wapinzani mjiandae Cc ephen_