Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Yanga wa Kimataifa ni Gor mahia iliyochangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitegemea 5Dah mbna bado sina furaha
Akitokea Sub ooh wanamtenga...Kuvunja mkataba na chama itaigharimu timu sh ngapi?
Naona ameosha osha kidogo kagoli ka mbabatize styleAkitokea Sub ooh wanamtenga...
Kwani kafanyaje jamani
Hatujakutana bado na vizimba na vigogo akina ahly. Kwa namna tulivyo cheza leo sijapenda kabisaHii Yanga labda aje Manchester City..!☺️
Baaada kumchamba😂😂😂Naona ameosha osha kidogo kagoli ka mbabatize style
Tumecheza kichovu! Unajua ukiwa na mvivu na wewe utakua mvivu tu! Ndio hii ya leoHatujakutana bado na vizimba na vigogo akina ahly. Kwa namna tulivyo cheza leo sijapenda kabisa
Unadhani ndo watacheza hivi??? Athubutu watacheza kama walivyocheza na al ahly na mamelodiHatujakutana bado na vizimba na vigogo akina ahly. Kwa namna tulivyo cheza leo sijapenda kabisa
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisa 💚💚💛🖤🖤🖤💪💪💪💪💪!Hii Yanga labda aje Manchester City..!☺️