Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo weekend sio mbaya...Tunawapelekea motoooo🔥
Kwendraaaa 🤣🤣🤣Tema mate chini
Habari yako mkuuUkweli usemwe hii Vitalo ingekaza kidogo tu leo tulikuwa tunaongea mengine.
Anajisahaulisha!! Atakuwa Kolo huyo😁
Wakicheza Simba, wachezaji wakikaribia 18 tu unakuta mods wameshabandika matokeo, wakikosa wanarudi ku editMods sijui wako bar....... Hawabadili ubao kabisa
Mmecheza na hao mafukara ndo mnajigambaHabari yako mkuu
Hujambo?
WapiKwendraaaa 🤣🤣🤣
😭😭😭Match Day
Vital'O FC vs Yanga SC
View attachment 3072420
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
View attachment 3072507
#Daimambelenyumamwiko#
Updates...
Mpira umeanza Timu bado zinasomana.
Dk 05
Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza hapa .
Goal la kwanza kwa Yanga.
0-1
Dk 08'
Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki wanakaa vizuri wanaondosha!!
DK 13'
Mpira unaendelea, Yanga wanautawala mpira kwa utulivu kabisa.
Max anafanyiwa madhambi.
DK 16'
Dube anapiga off target baada yakupokea mpira kutoka kwa Aziz K
DK 19'
Yanga wanapata kona inapigwa haileti madhara yoyote kwa Vital'O
DK 20'
Dube anapigwa Yellow Kadi
DK 30'
Mpira unaendelea, Vital'O wanakaa imara kujaribu kuzuia mashambulizi.
Kwa kifupi wanepaki basi.
DK 33'
Yanga wanapata free kick inapigwa haraka haraka.
Mpira bado kwenye umiliki wa Yanga.
DK 35'
Vital'O wanacheza kwa tahadhari kubwa.
Yanga wanapiga kona.
Inapigwa na Kichwa na Bakari Nondo inatolewa na beki.
DK 38'
Kipa wa Vital'O yuko chini.
Mpira umesimama kwa muda.
DK 41'
Vital'O wanapata kona ya kwanza hapa.
Haileti madhara yoyote.
DK 44'
Game On
0-1
DK 45'
Additional minutes 2'
DK 45+1'
Vital'O wanapata free kick nje kidogo ya 18 ya Yanga.
Inapigwa unachezwa kwa kichwa na Mwamnyeto
Inakuwa kona.
Wanapiga kona inakuwa butu.
HT
0-1
====================
UPDATES 2nd Half
DK 46'
Yanga wanapiga kona anaidaka kipa.
Bacca na Kipa wa Vital'O wapo chini.
Mpira umesimama kidogo hapa.
DK 51'
Yanga wanapata free kick nje kidogo ya 18 ya Vital'O.
Anaipiga Aziz kipa anacheza inakuwa kona.
Kona ya nne kwa Yanga.
Anaipiga Chama anapangua kipa mpira unarudi ndani.
Inakuwa Goal Kick.
DK 55'
Aziz anafanyiwa madhambi nje kidogo ya 18.
Anapiga Aziz kipa anatoa kwa juu.
inakuwa kona.
Inapigwa haraka .
Mudathiri anakosa goli la wazi kabisa baada ya Chama kufanya set-up nzuri kabisa.
DK 57'
Kipa wa Vital'O yuko chini.
Mpira umesimama kidogo.
Yanga wanafanya Sub.
Max Out
Pacome Inn
DK 59'
Dube offside
Vital'O wanashambuliwa sana.
DK 63'
Yanga wanapiga kona haileti Madhara yoyote.
DK 65'
Yanga wanapata kona ya Saba.
Inapigwa haileti madhara.
DK 66'
Chamaaaa anapiga njeee.
alikuwa ni yeye na kipa tu.
Akapiga juu.
DK 68'
Chamaaaaaaaaaaa....
Goaaaaaaaaaal.
Yanga wanapata goli la pili hapa.
Substitution kwa Yanga.
Chama Out
Musonda Inn.
Game On
0-2
DK 70'
Dube Out
Mzize Inn
DK 73'
Mzizeeeeeeeee anaweka chuma ya tatu.
CHUMAAAAAAAA.
Yanga 3.
DK 76'
Vital'O wanapata Free kick nje kidogo ya 18
Inapigwa haileti madhara.
Yanga wanafanya Sub
Abuya Inn
Mudathiri Out
Yao Out
Nkane Inn
DK 78'
Game on
0-3