Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
HahaWarundi wanatuangusha sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaWarundi wanatuangusha sana aisee
Wivu utakuua, lazima huyo mod wa leo ni shabiki wa mbumbumbu fc, ana wivu balaaMods shikilieni hapo hapo 😒
Haha kweliMechi na Azam asicheze mana wao ndo wanatuvunjiaga Wachezaji wetu
Subiri bado mawiliRefa maliza mpira nkampikie honey wangu......
😆Refa maliza mpira nkampikie honey wangu......
@Q😂😂😂 haki nmecheka! Wanawapaje nafasi ya kumfikia Diara jamani
Kumbe Makolokolo SC na Azam SC ni mafukara ndiyomaana yallichezea kichapo kitakatifu ligi ya ngao ya jamii 2023 &:2024 kwa Yanga SC?Mmecheza na hao mafukara ndo mnajigamba
Uko wapi 🤣Refa maliza mpira nkampikie honey wangu......
Waarabu kama CRBNiamini Mimi Gamondi kashaingia kwenye mfumo wa Chama. Lakini kwa uchezaji huu mkikutana na Waarabu mtakuwa matatani labda kama MTA improve
Mwaka huu simba nunueni Panadol box zimaWarundi wanatuangusha sana aisee
NakusubiriRefa maliza mpira nkampikie honey wangu......
Nakupigia nakupigia namalizia kucheki pira la man city wa daslam......😹Uko wapi 🤣
Ntumie basi muamala nmeona umempiga muhindi 😹Nakusubiri
Tunawasubiri paaaleeeMwaka huu simba nunueni Panadol box zima
Maana stress mtapata si za nchi hii
Mkishindwa hamieni Bunjumbura😂
Hapa tunaongelea Klabu bingwa sio mambo ya Ngao ya jamii, mbona hata Man city huwa anafungwa na Brentford katika Ligi la Epl,...ila Man city UEFA unakuta hashikiki.@Q
Kumbe Makolokolo SC na Azam SC ni mafukara ndiyomaana yallichezea kichapo kitakatifu ligi ya ngao ya jamii 2023 &:2024 kwa Yanga SC?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.