singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,974
- 10,361
Nikoani kule ndio dawa yao ilipoHii timu bila kuloga ikicheza na vijana wa bonyokwa Daslam na uhakika itapigwa tungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikoani kule ndio dawa yao ilipoHii timu bila kuloga ikicheza na vijana wa bonyokwa Daslam na uhakika itapigwa tungi
Shida mnashindwa kugundua kitu kimoja , Simba imeonekana kama timu bora baada ya kucheza na Yanga lakini pale kilichoionedhs kuwa bora ni Saikolojia juu ya ukubwa wa mchezo, Ni kheri kuweka matarajio makubwa pembeni na kufocus kwenye kusahihisha makosa , Kama ni ubingwa fikirieni msimu unao ukija msimu huu ni bahatiLeo hata tungefunga 8 haina maana na tushafanya sana haya ya kufanya vibaya kisha mechi inayofata isiyo na ulazima tunashinda goli nyingi.
Simba tunataka kuona tukishinda michezo ya ligi na kuchukua ubingwa.
Mambo ya kupoozana kwa kumtandika mtu goli 7 zisizo na impact kwenye kikombe tuyaache msimu uliopita.
Simba day ndo ilionyesha picha halisi ya mwenendo wa Simba. Mechi na Yanga ilikuwa muendelezo tu wa muonekano wa Simba mpya.Shida mnashindwa kugundua kitu kimoja , Simba imeonekana ka.Timu bora baada ya kucheza na Yanga lakini pale kilichoionedhs kuwa bora ni Saikolojia juu ya ukubwa wa mchezo, Ni kheri kuweka matarajio malibwa pembeni na kufocus kwenye kusahihisha makosa , Kama ni ubingwa gl fikirieni msimu unao ukija msimu huu ni bahati
Mpira ni mbinu. Mbinu inayohusisha vitu vingi.Angalia makosa ya timu yako ... mkiishia kuangalia ubora wa timu kwa kufananisha nani kamshinda nani hakutokuwa na mabadiliko mtaishia kuitetea timu kwa Kauli mbiu za kila msimu.
Mpaka robo ya Msimu wa kwanza ukiisha mtakuwa drained kwelikweli.
Yanga wanajifanya kama hawajawahi kucheza na hawa wagosiMpira ni mbinu. Mbinu inayohusisha vitu vingi.
So kabla ya kuangalia makosa jifunze kuheshimu na ubora wa mpinzani.
Sio kila muda mpinzani anapofanya vizuri dhidi yako iwe inaleta tafsiri kuwa unafanya makosa.
Sometimes uwe positive kwa kutoa recognition kwa mpinzani, haina maana kwamba wao hawastahili kufanya makubwa kiasi ikitokea wamefanya uanze kunyoosha kidole kutafuta mchawi.
dogo tulia..Hawa wataenda matuta
Shukuru mmefungaaa😂😂😂dogo tulia..