Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Timu almost mpya, unataka mwfanikio ya haraka haraka? Ndio shida ya mashabikiHii kushika nafasi ya tatu haina mvuto kwa kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu almost mpya, unataka mwfanikio ya haraka haraka? Ndio shida ya mashabikiHii kushika nafasi ya tatu haina mvuto kwa kweli!!
Makosa kocha yupo ndo kazi yake kuyarekebisha. Walitumwa kushinda, wameshinda hivyo wanastahili pongezi.Hakuna cha kazi nzuri hapo. Ukweli tuuseme. Wamefanya makosa mengi kabisa ikiwemo kupoozesha mpira wakati wa kushambulia. Wanahitaji kubadilika.
Hii ilikuwa mechi ya wa kocha kujaribu timu & mbinu tofauti tofauti. Full Utopolo wao mechi ya mwisho vs coastal walishinda kwa shida kagoli 1-0.Furaha pekee kwa Simba leo ilipaswa kuwa mchezo mzuri wenye ushindi mnono.
Leo hata tungefunga 8 haina maana na tushafanya sana haya ya kufanya vibaya kisha mechi inayofata isiyo na ulazima tunashinda goli nyingi.Furaha pekee kwa Simba leo ilipaswa kuwa mchezo mzuri wenye ushindi mnono.
Mpaka useme kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Yanga walikuwa sawa kutufunga
😀😀😀Hii timu bila kuloga ikicheza na vijana wa bonyokwa Daslam na uhakika itapigwa tungi
Kanywe bia kwa mangi atailipia shemeji umeongea pointSioni umuhimu wa hii mechi
Ni sahihi mkuu, kocha asawazishe makosa, ligi ikianza timu ishushe vichapo, ni jambo baya kucheza na timu ndogo ikuchukulie poa poa, wakikuzoea inakuwa changamoto, timu ndogo inatakiwa iingie uwanjan na wazo la hata wakipata sare ni sawa, sio waje wakiamini wanakuweza, itatupa tabu.Makosa ya leo yatatugharimu sana kwenye ligi. Tumejiweka kwenye mazingira ya timu ndogo kutuona wa kawaida na hivyo kutoingia na woga wanapocheza na Simba. Kocha kazingua na wachezaji wamezingua pia.
Hii si ndio bongo. 🤣Kwamba kuna mechi ya mshindi wa tatu kwenye community shield...aisee!
Angalia makosa ya timu yako ... mkiishia kuangalia ubora wa timu kwa kufananisha nani kamshinda nani hakutokuwa na mabadiliko mtaishia kuitetea timu kwa Kauli mbiu za kila msimu.Kuna watu humu wanaongea kihisia sana kwa kui underestimate Coastal na kudhani kwamba ni timu ya kustahili kufungwa goli nyingi.
Labda imekuwa rahisi kwa wao kusema hivyo kwasababu aina ya mpinzani anayekutana na Coastal ni Simba.
Ila watakuwa wanakosea sana kama wanajiweka wao kama ndio mbadala sahihi wa kuweza kufanya hicho kitu walichotegemea kuona Simba inakifanya.
Kwasababu msimu ulioisha kuna timu ili kupata hilo goli moja iliwalazimu wacheze 11 dhidi ya 10 nikiwa na maana ya red card iliyoenda upande wa Coastal na kuipa faida timu pinzani.
Na sio mechi hiyo tu hadi fainali ya Azam Federation misimu miwili iliyopita bado mambo yalikuwa magumu kwao na hiki wanacho wish Simba ifanye, wao hawakuweza kukifanya.
Lengo la timu ni kutengeneza matokeo tarajiwa mkuu , Yanga tuna Timu ya matokeo ila kama mnahisi kombe lenu ni kuja kuifunga Yanga shikilieni hapo hapoYaani pamoja na kuwa Pungufu Lkn hauoni timu kuzidiwa.....nami nasema Simba timu Wanayo....mwaka huu Yanga ni Kujiandaa kisaikolojia