Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Acha kabisa, sasa tujiandae kupelekewa pumzi ya moto.
Nilijua tu kama mabadiliko ya Kocha hayakuwa ya kiufundi. Hakukuwa na sababu za msingi kumtoa Mavambo na kumuingiza Ngoma. Au Ngoma alipopewa yellow, ilipaswa amtoe aingie Yusuph Kagoma. Sielewi kwanini kuna wakati benchi la ufundi linaharibu to the maximum.
 
Nilijua tu kama mabadiliko ya Kocha hayakuwa ya kiufundi. Hakukuwa na sababu za msingi kumtoa Mavambo na kumuingiza Ngoma. Au Ngoma alipopewa red, ilipaswa amtoe aingie Yusuph Kagoma. Sielewi kwanini kuna wakati benchi la ufundi linaharibu to the maximum.
Baluaaa
 
Ngoma apewe red halafu abadilishwe tena? Embu tulia mkuu kocha ndo mwenye maono, atahukumiwa kwa matokeo and so far Simba ipo mbele kwa 1 goal na haijapaki basi.
 
Nilijua tu kama mabadiliko ya Kocha hayakuwa ya kiufundi. Hakukuwa na sababu za msingi kumtoa Mavambo na kumuingiza Ngoma. Au Ngoma alipopewa red, ilipaswa amtoe aingie Yusuph Kagoma. Sielewi kwanini kuna wakati benchi la ufundi linaharibu to the maximum.
Naunga mkono, mavambo hakupaswa kutoka.
 
Huu mpira balua angeachia moja kwa kibu ingekuwa bora zaidi, si mbaya kajitahidi kapiga on target, ila angepasia ndio ingependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom