Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Hii game nilifikiri tofauti kabisa na ninachokiona hapa
Hata mimi nilifikiri itakuwa nyepesi, tutaikamata game kwa asilimia kubwa, imekuwa ndivyo sivyo, sasa coastal wametukamata na usishangae wakasawazisha, mpaka sasa game ni yao.
 
Back
Top Bottom