Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Ngoja tuone mbinu za kocha tukiwa pungufu.
 
Hata mimi nilifikiri itakuwa nyepesi, tutaikamata game kwa asilimia kubwa, imekuwa ndivyo sivyo, sasa coastal wametukamata na usishangae wakasawazisha, mpaka sasa game ni yao.
Na hii kadi ya Ngoma nibalaa sasa
 
Mh hapa refa sijamuelewa elewa kwenye hii faulo na kadi, ni kama kaipania Simba dakika hizi za meisho
 
Che Malone anacheza style ile ile ya kurudisha mpira kwa kipa na kupiga pasi za nyuma bila malengo.
 
Back
Top Bottom