Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Shida mnashindwa kugundua kitu kimoja , Simba imeonekana kama timu bora baada ya kucheza na Yanga lakini pale kilichoionedhs kuwa bora ni Saikolojia juu ya ukubwa wa mchezo, Ni kheri kuweka matarajio makubwa pembeni na kufocus kwenye kusahihisha makosa , Kama ni ubingwa fikirieni msimu unao ukija msimu huu ni bahati
 
Simba day ndo ilionyesha picha halisi ya mwenendo wa Simba. Mechi na Yanga ilikuwa muendelezo tu wa muonekano wa Simba mpya.
 
Angalia makosa ya timu yako ... mkiishia kuangalia ubora wa timu kwa kufananisha nani kamshinda nani hakutokuwa na mabadiliko mtaishia kuitetea timu kwa Kauli mbiu za kila msimu.
Mpaka robo ya Msimu wa kwanza ukiisha mtakuwa drained kwelikweli.
Mpira ni mbinu. Mbinu inayohusisha vitu vingi.

So kabla ya kuangalia makosa jifunze kuheshimu na ubora wa mpinzani.

Sio kila muda mpinzani anapofanya vizuri dhidi yako iwe inaleta tafsiri kuwa unafanya makosa.

Sometimes uwe positive kwa kutoa recognition kwa mpinzani, haina maana kwamba wao hawastahili kufanya makubwa kiasi ikitokea wamefanya uanze kunyoosha kidole kutafuta mchawi.
 
Yanga wanajifanya kama hawajawahi kucheza na hawa wagosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…