Lior
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 1,617
- 3,697
Sawa sawa, nguvu moja.Hata wacheze vipi! kufungwa na sisi kupo pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa, nguvu moja.Hata wacheze vipi! kufungwa na sisi kupo pale pale
Coastal iliyocheza na Azam ilikuwa imeweka pazia golini na sio golikipaKwa kweli hii ya Coastal ni a must win game!!
Hakuna namna lazima tuishinde.
Goli gan ulikuwa uzembe wa kipa?Coastal iliyocheza na Azam ilikuwa imeweka pazia golini na sio golikipa
Sasa tunatafuta mshindi wa tatu ili twende wapAaaahaaa
Kwanini mkuu
Kipa anafanya kazi ya kupanga mabeki, kuamrisha mabeki kwa kuwakumbusha majukumu yake jambo ambalo halikufanya. Na mwisho hayupo sharp shuti katika kuruka. Magoli mengi kafungwa kwa mashuti ya mbaliGoli gan ulikuwa uzembe wa kipa?
Wazee wa luza kapuTimu bora zinakutana.
hao veteran wenu ni suala la muda tu.upepo unakataWazee wa luza kapu
Kufanya nini?Timu bora zinakutana.
Kuonesha ufundi wa sokaKufanya nini?
Wanashindania nini hawa, ngao au kombe gani?Mapato yajae jae
Matumizi mabaya ya resources, bingwa wa ligi angemalizana na mshindi wa pili FA shughuli ikaishaSioni umuhimu wa hii mechi
Unasikitisha sanaWanashindania nini hawa, ngao au kombe gani?