Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Tarehe 8 mashabiki wa mnyama walikuwa wamejaa kwenye Uzi lakini Leo wameenda kudoea Uzi wa yanga huku wakiutelekeza Uzi wao,wanasimba tuwekeeni hata lineup
 
TFF wanaweka mechi mbili uwanja mmoja swala la matunzo ya Uwanja wapo zero kabisaa...
 
IMG-20240811-WA0003.jpg
 
Simba mjitafakari! Mnacheza kama ihefu hamna shauku ya magoli
 
Back
Top Bottom