Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mukwala anawapiga mkwala mzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi namuona kama mchoyo mchoyo iviiMukwala anawapiga mkwala mzito
YoteGoli gan ulikuwa uzembe wa kipa?
😂😁😁😂😂😁😁Wale Hawana Mwendo Klabu Bingwa Wanapigwa Mwanzo Mwanzohao veteran wenu ni suala la muda tu.upepo unakata
Mumshukuru Heri Sassii kwa kumimya penalty ya wazi dk za mwisho ila ngoma ilikuwa uno unoUnasahau yanga alivofunguka akakuchapa mpaka refa akaingilia kati
Ndio natural instinct ya striker kuwa mbinafsimimi namuona kama mchoyo mchoyo ivii
jamaa mchoyo san huyu paoe chini kulikuwa na mtuMkwala ni Sifuri 000
🙏1 SSC 0 CST
Tukiwafunga wote wa unaowaita level zetu kwenye ligi si unaelewa tafsiri yake lakini?Hizi ndo level zenu sasa...
Ana pupa sana na paparamimi namuona kama mchoyo mchoyo ivii
Ubora wa Coastal naona kama umepungua sana msimu huu, sijui labda mbeleni waje wabadilike. Ila sijaiona ile Coastal ya msimu uliopita walikuwa wanautulivu na usahihi mkubwa wa pasi na walikuwa na ukuta na kiungo imara sana.Mechi haijafa, bado coastal union anayo nafasi ya kutoka na ushindi.