Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Katika kikosi cha leo wachezaji kumi hawakuwa wakicheza msimu uliopita...hivyo bado tunajenga chemistry
 
Style hii ya kupoteza mipira ni ya kipuuzi sana. Bado Simba hatuna cha kujivunia. Uchezaji wa kuridhika sana huu kama wa Simba iliyopita vile.
Timu mpya ukimtoa shabalala na karabaka nani mwingine alikuwa akicheza msimu uliopita?
 
Back
Top Bottom