Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Huyu ahoua bado, hatoshi kuwa namba 10 ya simba, hana jicho la pasi, lakini pia anachelewa kuachia mali.

Mukwala mali ipo mguuni, atulize akili, asifosi goli, acheze mpira, goli litakuja.
 
HT
Sisi 1 Wao bado hawajapata kitu na hawatakipata
Sasa hivi mnashangilia nafasi ya tatu baadae game ya Azam mtamshangilia Azam nafasi yake ya pili,ukijumlisha mnapata zile 5 za 5 November
 
Sub hii sijaipenda, nilitaka nione pacha ya ngoma na debora.. Mie bado naamini ngoma ni mchezaji mzuri anastahiki kucheza.
 
Sub hii sijaipenda, nilitaka nione pacha ya ngoma na debora.. Mie bado naamini ngoma ni mchezaji mzuri anastahiki kucheza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mutale anakimbia kimbia tu maamuzi yake mibovu kwenye kukamilisha mipango ya mashambulizi mipira inaishia kwa adui.. Huyo hana tofauti na wachezaji wa ndani hapa tena naweza kukuambia chasambi ni bora kuliko yeye... Kiufupi ana harakati za pimbi
Hata Kijili yupo kwenye harakati za Pimbi,anahangaika kutoa mpira nyuma akifika phase muhimu ya mwisho kutoa assist inakuwa work done zero.
 
Back
Top Bottom