holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Bado mnajenga timu kwani nani aliibomoa?Malalamiko FC wanajulikana ni kina nani. Si tumeshawazoea, ni vile tunajenga timu na ikikaa sawa mfumo wenu wa barua za malalamiko utarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mnajenga timu kwani nani aliibomoa?Malalamiko FC wanajulikana ni kina nani. Si tumeshawazoea, ni vile tunajenga timu na ikikaa sawa mfumo wenu wa barua za malalamiko utarudi.
Kama Yana wamempa bahash nyie refa aliyechezesha Dodoma Jiji na makolo mlimpatia barua?Amepewa bahasha tayari Unategemea nini?!
Hata kama no makolo,cha msingi kule tff inasoma point 3,Wacha wajifariji kwa kutobadili ubao,wabaki na maumivu Yao.Jana nilikwambia Mods wengi ni kolo.. Soma ubao
Hapana mkuu Tulimpa karatasiKama Yana wamempa bahash nyie refa aliyechezesha Dodoma Jiji na makolo mlimpatia barua?
Liverpool, Chelsea, Man U ziliposukwa upya nani alizibomoa?Bado mnajenga timu kwani nani aliibomoa?