Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Nidhamu mbovu na kiburi cha mafanikio haya mambo yanaweza wafanya Yanga wakose ubingwa wa NBC na kutofika mbali club bingwa Africa. Mechi na Simba Boka na Mudathir walikuwa na matukio mawili ya penati ambayo hayakuwa ya lazima, leo tena Muda karudia na wamshukuru refa. Mabishano na refa bila sababu za msingi hadi inakera. Mechi za kimataifa wachezaji wakikosa nidhamu malipo ni makubwa mno. Wakiendelea kucheza hivi naziona sare kadhaa mbele yao.
Kawaida, Simba alitisha misimu minne ikapotea, Yanga imetisha misimu mitatu, hui wa nne pia itapotea, Simba itarudi juu na mzunguko utakuwa huo huo. Kwahiyo sio kiti cha kutisha sana kwa hizi timu
 
Kawaida, Simba alitisha misimu minne ikapotea, Yanga imetisha misimu mitatu, hui wa nne pia itapotea, Simba itarudi juu na mzunguko utakuwa huo huo. Kwahiyo sio kiti cha kutisha sana kwa hizi timu
Yanga gari ndio lishawaka,huu ni mwendelezo kwa misimu kumi ijayo
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Game bado iko live!
Kipindi cha ngapi hiki?
 
Back
Top Bottom