Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Tuambizane.
Hivi kuna shambulizi lolote mmeona toka kwa Uto?
Hawa bila makosa ya kibinadamu ya marefa yatokanayo na bahasha za giesiemu hawana timu mwaka huu.
Na huko CAFCL wakivuka makundi basi itabidi washerekee kwa kunywa supu ya vibudu kwa wingi
 
Malalamiko au Madunduka ukipenda waite Debora FC 0 Dume lao 1.

Malalamiko yote ni kwa Kayoko.
Score board ilikuwa inasoma 0-0 badala ya 0-1, thus, reminded about a score board, in reality though your over reaction is uncalled for
 
Mi ni yanga ila aisee sijawahi kuona mechi mbovu kama hii tangia tumpe gamondi timu, mechi nzima hakuna hata shambulizi la maana la open play??? Dah huu mwaka beki na kipa zituokoe tu
 
Utopolo msimu huu Hakuna timu .....ukweli mchungu.....Ushindi wa kubeba unamwisho wake
 
Nidhamu mbovu na kiburi cha mafanikio haya mambo yanaweza wafanya Yanga wakose ubingwa wa NBC na kutofika mbali club bingwa Africa. Mechi na Simba Boka na Mudathir walikuwa na matukio mawili ya penati ambayo hayakuwa ya lazima, leo tena Muda karudia na wamshukuru refa. Mabishano na refa bila sababu za msingi hadi inakera. Mechi za kimataifa wachezaji wakikosa nidhamu malipo ni makubwa mno. Wakiendelea kucheza hivi naziona sare kadhaa mbele yao.
 
Waandishi wetu nao... eti " when you go Zanzibar play with the singida" 😃😃
 
Back
Top Bottom